TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Daraja la Mfereji wa Suez

The Typologically Different Question Answering Dataset

Serikali ya Japan ilitoa kiasi cha asilimia  60 ya gharama za ujenzi hii ikiwa ni kiasi cha Yen bilioni 13.5, hii ilikubaliwa wakati Raisi Mubarak  alipoitembelea Japan mwezi  Machi mwaka 1995, kama sehemu ya kuendeleza mkono nchi wa Sinai. Misri nayo ilichangia kiasi cha asilimia 40 yaani Yen bilioni 9, zilizobaki. Na daraja likafunguliwa mwezi Oktoba mwaka 2001.

Je.daraja la Suez Canal ilizinduliwa mwezi upi?

  • Ground Truth Answers: OktobaOktobaOktoba

  • Prediction: